Huduma Zetu
Tunatoa huduma za usafirishaji kati ya Dar es Salaam na miji ya kati ya Tanzania: Dodoma, Singida, Shinyanga na Mwanza.
01.
Usafirishaji wa Mizigo ya Biashara
Kutoka bidhaa ndogo hadi mizigo mikubwa ya kampuni.
02.
Usafirishaji wa Mizigo Binafsi
Tunasafirisha vifaa na bidhaa kwa wateja wa nyumbani .
03.
Usalama wa Mizigo Yako
Tunatambua thamani ya kila mzigo, hakuna upotevu au uharibifu.
Kuhusu Raphael Transport
Tupo Jangwani Mafuso, Dar es Salaam, na kwa zaidi ya miaka 5 tumekuwa tukihudumia biashara na watu binafsi kwa kusafirisha mizigo yao kwa usalama na ufanisi.
Tunajua changamoto za usafirishaji nchini — kuchelewa kwa mizigo, uharibifu wa bidhaa, na gharama zisizoeleweka. Ndiyo maana tumejipanga kuhakikisha kila mzigo unaosafirishwa nasi unafika salama, kwa wakati, na kwa gharama inayolingana na thamani ya huduma.
10+
Miaka ya uzoefu
5
Mikoa Tunayosafirisha
70+
Mizigo Iliyosafirishwa
90+
Mizigo kufika kwa wakati
Shuhuda za Wateja
+255 758 062 148
info@raphaeltransport.co.tz
Dar es salaam, Jangwani Mafuso.